Tafsiri ya Sura Al-An'aam 6:42

﴿وَلَقَدْ أَرْسَلْنَا إِلَىٰ أُمَمٍ مِّن قَبْلِكَ فَأَخَذْنَاهُم بِالْبَأْسَاءِ وَالضَّرَّاءِ لَعَلَّهُمْ يَتَضَرَّعُونَ﴾

Tafsiri ya maana

Na kwa yakini tulipeleka Mitume kwa kaumu zilizo kuwa kabla yako, kisha tukazitia katika dhiki na mashaka ili zipate kunyenyekea.

Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani — v1.0.1 · QuranEnc.com

Maneno ya maimamu wawili yametolewa kwa Kiarabu asilia, neno kwa neno, pamoja na marejeo.

Sheikh al-Islam Ibn Taymiyyah

فهذا تعذيب لهم في الدنيا ليتضرعوا إليه وليتوبوا«رسالة في معنى كون الرب عادلا» 1/135
Fungua katika tafsiri shirikishi (maandiko kamili)
Aya iliyotangulia (6:41)Aya inayofuata (6:43)