Tafsiri ya Sura Al-An'aam 6:17

﴿وَإِن يَمْسَسْكَ اللَّهُ بِضُرٍّ فَلَا كَاشِفَ لَهُ إِلَّا هُوَ وَإِن يَمْسَسْكَ بِخَيْرٍ فَهُوَ عَلَىٰ كُلِّ شَيْءٍ قَدِيرٌ﴾

Tafsiri ya maana

Na ikiwa Mwenyezi Mungu akikugusisha madhara, basi hapana wa kukuondolea hayo ila Yeye. Na ikiwa akikugusisha kheri, basi Yeye ndiye Mwenye uweza wa kila kitu.

Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani — v1.0.1 · QuranEnc.com

Maneno ya maimamu wawili yametolewa kwa Kiarabu asilia, neno kwa neno, pamoja na marejeo.

Imam Ibn al-Qayyim

فهو الذى يمس بالضر، وهو الذى يكشفه، لا إله إلا هو«طريق الهجرتين وباب السعادتين» 1/288
Fungua katika tafsiri shirikishi (maandiko kamili)
Aya iliyotangulia (6:14)Aya inayofuata (6:18)